Hawza/ Mkutano wa kitaalamu wa vijana wenye anwani ya “Vijana na Muqawama kwa Mtazamo wa Ahlul-Bayt (as)” umefanyika katika eneo la Dhahiyah Kusini mwa Beirut, Lebanon, kwa juhudi za Ofisi ya…