Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Iran kilichopo nchini Tanzania kimepokea ugeni maalumu wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar waliowasili katika kituo hicho kwa lengo la kuendeleza mahusiano…
Hawza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la maponduzi Alhaj Dkt. Mwinyi, amesema kuwa, kwa sasa Qur'ani imekuwa sehemu muhimu ya kuitambulisha Zanzibar katika sekta ya Kimataifa.
Hawza/ Hawza ya Imam Ally (as) iliyopo Zanzibar nayo pia ilifanya Majlisi na baada ya majlisi hiyo wakafanya matembezi ya amani kwa ajili ya kuadhimisha kifo cha Mtume Muhammad (saw)
Hawaza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya Kusimamia Madrasa Zanzibar.