Hawza/ Baada ya ghaiba ya Imam wa kumi na mbili (as), ni nani mwenye dhamana ya uongozi na uimamu juu ya umma? Je, mtu mmoja au watu fulani wana mamlaka juu ya umma? Ikiwa kuna mamlaka, mipaka…