Hawza/ Bw. Kazuki Suleiman Kanehara, raia wa Japan mwenye umri wa miaka 31, ameukumbatia Uislamu kwa moyo mkunjufu baada ya kusoma Qur'ani Tukufu.
Hawza/ Muislamu mwoga na dhaifu si tu kwamba hana nafasi katika mantiki ya wahyi, bali pia kwa kupuuza 'amali njema' iliyo ya msingi kabisa — yaani kuwaghadhibisha maadui wa safu ya ukafiri —…