Hawza/ Jumuiya ya Al-Wefaq Al-Watani Al-Islamiyyah imefichua kuwa imepata "taarifa hatari na sahihi" kuhusu mazingira ya kuwazuia wanazuoni wa Kishia nchini Bahrain.
Hawza/ Ali Al-Emad amesisitiza kuwa; mapambano ya kuvunja mzingiro dhidi ya Yemen ni wajibu wa kitaifa na jukumu lisiloweza kuachwa, wala si hatua ya kisiasa au chombo cha shinikizo la kijeshi.
Hawza/ Imamu wa Swala ya Ijumaa wa mji wa Qum amesema: Baadhi wanapaswa kujinasua kutoka katika dhana potofu ya kushikamana na mazungumzo yasiyo na manufaa na yenye madhara, kwa kuwa kufanya…