Hawza/ Shirika la “SALAM” limesisitiza kwamba; sera za Uingereza zimechangia kuimarisha mifumo ya ukandamizaji na kutoadhibiwa kwa wahusika nchini Bahrain, badala ya kuleta mageuzi ya kweli katika…
Hawza/ Kufichuliwa kwa uhamishaji wa mamilioni ya pauni kutoka kwa baadhi ya mashirika ya hisani ya Uingereza kwenda kwa taasisi zinazohusishwa na makazi ya walowezi wa Israel kumesababisha wimbi…
Hawza/ Sayyid Muqtada Sadr, kiongozi wa Harakati ya Kitaifa ya Kishia nchini Iraq, alionsha hasira na kutoridhishwa kwake kutokana na kauli za Irfan Siddiq, Balozi wa Uingereza mjini Baghdad.
Hawza/ Mahakama Kuu ya London ilitangaza kwamba; kundi lolote linalochukua hatua za kuiunga mkono Palestina litatambuliwa na serikali ya Uingereza kama kundi la kigaidi na litachukuliwa kuwa…
Hawza/ Maandamano makubwa yalifanyika jijini London kupinga uuzaji wa silaha unofanywa na utawala wa Uingereza kwa Israel, na pia kupinga ukiukaji usio wa kibinadamu wa sitisho la mapigano unaofanywa…