UEFA (4)
-
DuniaWataliano wataka mechi kati yao dhidi ya Israel Ifutwe
Hawza/ waandamanaji siku ya Ijumaa waliingia kwenye mazoezi ya timu ya taifa ya kandanda ya Italia, na baada ya kukaribia lango na uwanja, walitangaza kuwa wanataka mchezo wa timu yao dhidi ya…
-
DuniaZaidi ya wanamichezo hamsini wa kimataifa wasaini waraka wa kusimamishwa Israel
Hawza/ Muungano wa zaidi ya wanamichezo mashuhuri 50, akiwemo kiungo wa Crystal Palace, Cheick Doucouré, na mchezaji wa zamani wa Chelsea, Hakim Ziyech, wamesaini waraka uliyoitaka UEFA kuisimamisha…
-
DuniaIdadi kubwa ya wajumbe wa Kamati ya UEFA waafiki kusimamisha timu za utawala wa Kizayuni
Hawza / Wajumbe wengi wa kamati ya UEFA, kufuatia shinikizo kutoka kwa mashabiki na wachezaji katika kulaani mauaji ya halaiki Ghaza, wamepiga kura ya kuunga mkono kusimamishwa kwa timu za utawala…
-
DuniaMashabiki wa Timu ya Italia Wapinga Wimbo wa Israel
Hawza/ Mashabiki wa timu ya mpira wa miguu ya Italia, wakati unaimbwa wimbo wa utawala wa Kizayuni, katika hatua ya ishara ya kupinga jinai za kikatili zinazofanywa na utawala huo, waliupa mgongo…