Swala ya Ijumaa (11)
-
Ayatullah A’rafi Katika Swala ya Ijumaa Afafanua:
DuniaMadhaifu Kumi ya Marekani, Nguvu Yake ni ya Kioo na Nyumba ya Buibui/ Kipindi cha Subira Kimefikia Hatam
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum amefafanua madhaifu kumi ya Marekani yaliojitokeza waziwazi katika vita vya hivi karibuni.
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaMalezi Bora kwa Watoto Huanzia Kabla ya Ndoa
Hawza/ Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Imam Mkuu wa Msikiti wa Ghadir, uliopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, ameitaka jamii kuweka…
-
DuniaImamu wa Ijumaa wa Najaf Ashraf akosoa vikali msimamo wa serikali ya Iraq
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanchi, Imamu wa Ijumaa wa Najaf Ashraf, ameitaka serikali ya Iraq ilaani mashambulizi ya mara kwa mara ya mabomu dhidi ya wananchi wa Yemen…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaJamii Ina Wajibu wa Kuzingatia Malezi Bora ya Watoto/ Mitandao ya Kijamii Itumike Vizuri
Hawza/ Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania (TIC) na Imam Mkuu wa Msikiti wa Ghadir, uliopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, ameitaka jamii kutoa…
-
Sheikh Mkuu wa Shia Tanzania:
DuniaKumdhukuru Mwenyezi Mungu ni Sifa ya Waumini wa Kweli
Hawza/ Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania (TIC) na Imam Mkuu wa Msikiti wa Ghadir, uliopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, amewahimiza waumini…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaHakuna Dhikri Yenye Ubora Mkubwa Kama Kumswalia Mtume Muhammad (s.a.w.w)
Hawza/ Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania (TIC) na Imam Mkuu wa Msikiti wa Ghadir, uliopo Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, Tanzania, amewahimiza…
-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, Kufuatia Mkutano wa 33 wa Kitaifa wa Swala:
DuniaKuifanya Swala kuwa sehemu ya msingi na jambo la watu wote katika jamii ni msingi wa kuifikia jamii ya Kiislamu
Hawza/ Swala kufanywa kuwa sehemu ya msingi ya maisha, kuenea na kuwa jambo la watu wote katika jamii, na kisha kuwepo juhudi za pamoja za kuitekeleza kwa uzuri, ni pande mbili kuu za mchakato…
-
Imam wa Ijumaa wa Najaf:
DuniaTunataka Kusimama Dhidi ya Israel na Kukomesha Migogoro Katika Nchi za Kiarabu na Kiislamu
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanji amezungumzia uwepo wa rais wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu nchini Syria, katika umbali wa kilomita 35 kutoka Damascus.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Skardu, Baltistan, Pakistan:
DuniaUmoja wa Waislamu ndio njia ya kukabiliana na njama za maadui
Hawzah/ Sheikh Muhammad Jawad Hafizi, amesisitiza umuhimu wa kulinda umoja wa Umma wa Kiislamu, akisema: Waislamu wanapaswa, kwa kuwa na tahadhari na uelewa mpana, kujiepusha na kuchochea mifarakano…
-
DuniaTaifa la Iran Limeonesha Uwezo na Nguvu Zake Mbele ya Marekani
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Abutorabi Fard amesisitiza: “Taifa lenye nguvu la Iran, mataifa ya eneo na Mhimili wa Muqawama wameuona uwezo na nguvu zao katika mashambulizi ya kijeshi ya…
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran:
DuniaKuzingirwa Kiuchumi Kutapelekea Maadui Kushindwa
Hawza/ Ayatullah Khatami amesema: Shinikizo la kiuchumi na kuzingirwa kiuchumi vinafuatwa kwa lengo la kujenga pengo kati ya wananchi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na kudhoofisha kambi ya haki,…