Hawza/ Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Singida limehitimisha rasmi mchakato wa uchaguzi wake mkuu, hatua iliyofunga rasmi jalada la uchaguzi katika mkoa huo baada ya kukamilika…
Hawza/ Mji wa Singida leo umeshuhudia tukio muhimu kwa Waislamu wa mkoa huo, baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya BAKWATA Taifa, Alhaj Sheikh Khamis Mataka, kuwasili rasmi kwa ajili ya kusimamia…
Hawza/ Siku ya Jumatatu sawa na tareh 29.9.2025 – Uchaguzi mkuu wa BAKWATA mkoa wa Singida umefanikiwa kufanyika katika wilaya zote saba, ambapo wenyeviti wapya wamechaguliwa kushika nafasi za…