Hawza/ Mkusanyiko wa Wanazuoni Wakislamu katika marasim ya kumkumbuka Sheikh Rasul Shahud ambaye aliuawa kwa shambulio la kigaidi katika viunga vya mji wa Homs. Marasim haya yalifanyika katika…
Hawza/ Hizbullah ya Lebanon, katika tamko lake, imelaani jinai ya kikatili ya kulengwa mwanazuoni mashuhuri Sheikh Rasoul Shahhoud katika viunga vya Homs.
Hawza/ Wanaharakati wa Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria wamerekodi maandamano katika vitongoji vya Homs yaliyoandaliwa kulaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Sheikh Rasul Shahoud,…