Sheikh Al-Khatib (7)
-
DuniaSheikh Al-Khatib Atahadharisha Kuhusiana na Kunyang’anywa Silaha Muqawama Chini ya Kuvuli cha Wavamizi
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon, Sheikh Ali Al-Khatib, ameeleza kuhusu mwaliko wa Rais wa Lebanon wa kuandaliwa mazungumzo mapana ya kitaifa yatakayowakutan…
-
Sheikh Al-Khatib Baada ya Kurejea Lebanon:
DuniaViongozi wa Iran na Iraq Wapo Tayari Kusaidia Lebanon na Kusini Mwake
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Shia la Lebanon, baada ya ziara ya siku 11 nchini Iran na Iraq, amesisitiza utayari kamili wa viongozi wa Iran na Iraq wa kutoa msaada wa…
-
Sheikh al-Khatib:
DuniaTaarifa ya mazungumzo ya Washington inafungua milango ya fitna ambayo adui ananuia kuizalisha
Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon amesema: Kukubali kwa serekali ya Lebanon kupitia wanadiplomasia wake maudhui ya taarifa ya Washington na kukubali…
-
Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia nchini Lebanon:
DuniaVita vya uchokozi vya Marekani na Israel dhidi ya Iran na Lebanon vimeshindwa
Hawza/ Sheikh Ali Al-Khatib alisisitizia misingi isiyobadilika ya msimamo kuhusu uchokozi wa Israel, ikiwemo kuondoka kikamilifu, kurejea kwa wakazi, kuanza upya ujenzi, kuachiwa huru kwa wafungwa…
-
DuniaKipi Kilijiri Katika Mazungumzo Kati ya Sheikh Al-Khatib na Papa Laon?
Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Waislamu wa Kishia wa Lebanon alisema katika mazungumzo yake na Papa: Utamaduni wetu wa kiroho umejengwa juu ya undugu wa kibinadamu; nasi…
-
DuniaOmbi la Sheikh Al-Khatib Kuielekea Serikali ya Lebanon
Hawza/ Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia nchini Lebanon amelaani vikali uvamizi wa mara kwa mara unaofanywa na Israel dhidi ya Lebanon.
-
DuniaSheikh Al-Khatib: Sisi Hatutajisalimisha
Hawza/ Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia nchini Lebanon alisema: Kudhalilisha sura ya dhehebu la Kishia nchini Lebanon ni njama dhidi ya Lebanon. Tulishika silaha kwa kuwa hakukuwa…