Sayyid Ammar Hakim (4)
-
Kikao cha sayyid Ammar al-Hakim na balozi wa Iran mjini Baghdad:
DuniaMahojiano kuhusiana na uhusiano wa pande mbili na mabadiliko katika eneo
Hawza/ Sayyid Ammar al-Hakim, kiongozi wa harakati ya Hikmah al-Wataniyah ya Iraq, amekutana na Mohammad Kazem Al-Sadiq, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Baghdad, ambapo pande hizo…
-
Ayatullah Amoli Larijani katika kikao chake na Sayyid Ammar Hakim:
DuniaAdui aliingia uwanjani katika Vita vya Siku 12 kwa uso wazi bila barakoa
Hawza/ Rais wa Baraza la Uhakiki wa Maslahi ya Taifa la Irani, aliyeonyesha shukrani kwa ujasiri wa vikosi vya silaha, alibainisha umuhimu wa umoja na mshikamano wa wananchi wa Iran dhidi ya…
-
DuniaAmmar Hakim: Iran ni ngome iliyopo mstari wa mbele katika ulimwengu wa Kiislamu
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Hikmat ya Kitaifa ya Iraq, alipo hudhuria katika Haram Tukufu ya Imam Khomeini (r.a), alimpa heshima mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
DuniaOfisi ya Ammar Hakim: Uongo Kuhusu Msimamo wa Tofauti wa Ammar Hakim Kuhusu Vikosi vya Hashd al-Shaabi Haukubaliki Kwa Njia Yoyote
Hawza/ Ofisi ya vyombo vya habari ya Rais wa Muungano wa Vikosi vya Kitaifa vya Iraq imekataa uvumi unaosema kwamba Sayyid Ammar Hakim, kiongozi wa muungano huo, ana msimamo tofauti kuhusu vikosi…