Hawza/ Gustavo Petro, Rais wa Colombia, akijibu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kukamata meli ya “Flotilla ya Kimataifa – Sumud” na kuwakamata wanaharakati waliokuwemo, ametoa amri ya kuondolewa…
Hawzah/ Rais wa Kolombia, Gustavo Petro, katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, aliikosoa vikali serikali ya Donald Trump na kuieleza kuwa ni ya “kidikteta.”
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, katika hotuba yake siku ya Ijumaa, alilinganisha hali ya mateso wanayo ipotia Wapalestina na simulizi ya maisha ya Nabii Issa Masih (amani iwe juu yake).