Hawza/ Wafanyakazi na wanafunzi wa Hispania walifanya maandamano makubwa ya kuiunga mkono Palestina tarehe 15 Oktoba, ambapo takriban maelfu ya watu walishiriki kutoka sehemu mbalimbali za Hispania.
Hawza/ Bwana Sánchez katika hotuba yake ya hivi karibuni, sambamba na kutangaza mipango yake ya baadaye kwa ajili ya nchi ya Uhispania, pia alitangaza kuwa nchi hii inalaani jinai zinazofanywa…