Hawza/ Mwezi wa Rajabu una fadhila nyingi kama kufunga, kuswali swala maalumu, usiku na mchana wake, hususan siku ya kumi na tatu ambayo ina amali mahsusi na fadhila kubwa. Tarehe kumi na tatu…
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Al-‘Udhma Jawadi Amoli, katika kipindi cha darsa ya maadili kilichofanyika katika Msikiti Mkuu wa Qum Iran, kwa kufafanua “njia ya tatu ya dini” katika kukabiliana na…
Hawza/ Ayatullah Marwī katika hitimisho la darsa yake ya fiqhi alisema: “Tuufanye mwezi wa Rajab kuwa mwanzo wa kuzijua zaidi dua za Ahlul-Bayt (a.s); ni kwa lugha gani tunaweza kusema kwamba…