Hawza/ Kikao cha kielimu chenye anuani “Utambuzi wa kimapinduzi wa wanawake” kilifanyika kwa ushiriki wa walimu na wanafunzi katika Hawza ya wanawake ya mji wa Karachi, Pakistan, ambapo ilisisitizwa…
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Khamenei, mbee za maelfu ya wanawake na mabinti, alielezea “kuepuka kumbebesha mwanamke mzigo wa kazi za nyumbani”, “mume kumsaidia mke katika changamoto za uzazi” na…
Hawza/ Wanaotetea haki za binadamu wameitaka Ufaransa iondoe sheria inayokataza wanawake wanamichezo kuvaa hijabu, huku mjadala kuhusu suala hili ukizidi kushika kasi katika siku za hivi karibuni.
Hawza / Khatibu wa Ijumaa wa Qom alisema: Sote yatupasa kufahamu kwamba Mwanamke katika Uislamu ana nafasi na jukumu kijamii, kimaadili na kifamilia, na jukumu hilo lazima lilindwe na kuheshimiwa.
Hawza/ Raisi wa Jumuiya ya “Qawluna wa al-‘Amal” na mwanachuoni wa Kisunni kutoka Lebanon, katika hafla maalum, amesisitiza juu ya umuhimu wa nafasi ya wanawake waumini katika kuunda vizazi vya…