Hawza/ Waumini na wananchi mbalimbali katika Jiji la Kilimanjaro Moshi, walikusanyika katika Msikiti wa Ahlulbayt tarehe 29 Agosti 2026 kwa ajili ya kushiriki hafla maalumu ya kuadhimisha Maulidi…
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamefanya Matembezi ya Amani katika Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuenzi na kuhuisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi…
Hawza/ Waumini wa dhehebu la Shia mjini Moshi, Tanzania, wamefanya vikao vya maombolezo ya Imam Hussein (as) sambamba na matembezi ya amani katika kuhuisha kumbukumbu ya shahada ya mjukuu wa…
Hawza/ Katika mwendelezo wa maadhimisho ya mwezi wa Muharram na kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), majlisi za maombolezo zimeendelea kufanyika kwa hamasa kubwa katika mji wa Moshi, nchini…
Hawza/ Msikiti wa Ahlulbayt (as) uliopo mjini Moshi na unaosimamiwa na Taasisi ya Ummulbanin, umeandaa Majlisi ya Kwanza ya Muharram kwa mwaka wa 1448 Hijria (2026), katika mazingira yaliyogubikwa…