Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala amesema kuwa; ukiukwaji wa mara kwa mara wa haki za raia wa Kishia unaoshuhudiwa leo nchini Bahrain haujaishia tena katika vikwazo vya kisiasa au kiusalama, bali…