Hawza/ Ayatullah A‘rafi, amewapowapongeza wauguzi katika Siku ya Wauguzi, kwa kusisitiza kwamba: Bibi Zainab (s.a.) hakuwa muuguzi wa Karbala pekee, bali pia alikuwa kinara wa msimamo thabiti…
Hawzah/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran amesema kuwa; jumuiya ya wasomi wa udaktari ni hazina adimu ya elimu, ujuzi na maadili ya kitaaluma, ambayo jukumu lake ni kulinda uhai na afya ya binadamu.