Hawza/ Mtukufu Ayatullah Subhani amesema: “Kwa muda wa miaka hamsini hadi sitini sasa tumefikia hitimisho kwamba ndani ya Hawza za kielimu, vitabu vya masomo vinapaswa kuwa vinaendana na mahitaji…
Hawza/ Kile kinachojulikana leo kama "wilayat Faqihi" katika muendelezo wa "wilaya ya Ahlul-Bayt (as)", ndio njia pekee inayoweza kudhamini utawala wa dini ya Uislamu na utekelezaji wa hukumu…