Imamu wa Ijumaa wa Baghdad (13)
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaMatembezi ya Arubaini yamedhihirisha kushindwa mipango ya Marekani
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi amesisitiza kwamba; matembezi ya Arubaini si tukio la kidini au ibada pekee, bali ni nembo kubwa ya Mwenyezi Mungu yenye nyanja za kidini, kisiasa, kijamii…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaUshiriki Mkubwa wa Wananchi katika Mazishi ya Ayatullah Khamenei Umeonesha Uelewa wa Umma na Kushikamana na Msimamo wa Muqawama
Hawza/ Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, amesema kuwa ushiriki wa mamilioni ya watu katika mazishi ya Ayatullah Sayyid Ali Husseini Khamenei umeonesha kiwango…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaAshura ni Mradi wa Kudumu wa Mageuzi
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, amesema kuwa; Ashura si tukio la kihistoria tu, bali ni "mradi wa kudumu wa mageuzi", na akasisitiza kwamba kupigania…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaVita vya Hivi Karibuni vya Marekani na Israel dhidi ya Iran si Vita vya Nchi Moja, Bali ni Mapambano ya Umma Mzima wa Kiislamu
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, huku akisisitiza kuhusu sura pana ya makabiliano ya hivi karibuni kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ameeleza…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaNchi kujitegemea ni Mstari Mwekundu; Iraq Inahitaji Uelewa wa Kisiasa wa Kukataa Uingiliaji wa Kigeni
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi amesisitiza kwamba; “Nchi kujitegemea ni mstari mwekundu” kwa Iraq, na ameonya kwamba; juhudi za kueneza na kuimarisha utamaduni wa utegemezi kwa mataifa…
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad atahadharisha kuhusu kuongezeka kwa mpasuko kati ya tabaka la kisiasa na wananchi wa Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi ameonya kuhusu kuwepo kwa mpasuko mkubwa kati ya tabaka la kisiasa na wananchi wa Iraq, huku akisisitiza kuwa; nchi ipo katika njia panda kati ya mamlaka…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaIraq inahitaji maamuzi huru yasiyo chini ya utawala wa Marekani
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, huku akisisitiza umuhimu wa kulinda mamlaka ya kitaifa ya Iraq, ameonya kwamba; nchi hiyo inahitaji maamuzi yaliyo huru kikamilifu na mbali na utawala wa…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad atoa tahadhari kwa kusema:
DuniaIraq iko mbele ya mabadiliko ya hatima katika hatua ya kuchorwa upya kwa mizania ya nguvu za dunia
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, akitoa tahadhari kuhusu “mlipuko hatari wa kijamii” nchini Iraq unaotokana na kutengana kwa mikondo ya kisiasa na matakwa ya wananchi, alisisitiza kwamba;…
-
DuniaMtazamo wa Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad kuhusu mabadiliko na vita vya kikanda
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Mousawi, akitoa tahadhari kuhusu “machafuko ya jumla” katika eneo yanayotokana na ushindani wa madola makubwa, alisisitiza kwamba; vita vijavyo vitabadilisha kwa…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaKusimama kidete kwa Iran na uthabiti wa Hizbullah kuliilazimisha Marekani na Israel kukubali usitishaji wa mapigano
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi alisisitiza kuwa; msimamo thabiti wa kimkakati wa Iran pamoja na ustahimilivu wa kijeshi wa Hezbullah, uliibadilisha mizania kwa manufaa ya muqawama na kuilazimis…
-
DuniaTahadhari ya Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad kuhusu dalili za utawala wa kigeni nchini Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, huku akisisitiza kwamba; uhuru wa Iraq ni kipaumbele cha kitaifa, alionya kuhusu uelekezaji wa kimakusudi wa vyombo…
-
Imamu wa Ijumaa wa Baghdad:
DuniaRamani ya jiografia ya kisiasa ya eneo inaandaliwa upya/ Iraq iko katika hatua nyeti ya kihistoria
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Mousavi, Imamu wa Ijumaa wa Baghdad, huku akirejelea mabadiliko ya karibuni katika eneo, ametangaza kuwepo kwa upangaji upya mpana wa kijografia na kijeshi katika…
-
mamu wa Ijumaa wa Baghdad:
DuniaIsrael na Trump Wamesalimu Masharti ya Muqawama Ghaza
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Musavi, akirejelea usitishwaji mapigano hivi karibuni Ghaza, aliutaja kama ishara ya kusalimu Israel na Trump mbele ya masharti ya Muqawama wa Kiislamu, na kusema…