Hawza/ Serikali ya Uhispania imemjulisha Meya wa mji wa Jumilla kuwa marufuku iliyolenga mikusanyiko ya kidini na kitamaduni kwenye viwanja vya michezo, iliyokuwa ikitekelezwa hapo awali, imeondolewa…
Uhispania, kutokana na shinikizo la wananchi na baadhi ya maafisa wa serikali, imefuta kwa upande mmoja mkataba wa dola milioni 7.8 wa uuzaji silaha kwa Israel.