Hawza/ Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Hamas, amesema kwamba: Iran imeifikishia harakati hiyo juhudi zake za kidiplomasia za kumaliza migogoro katika eneo, ikiwemo vita vya Ghaza.
Hawza/ Harakati ya Muqawama wa Kiislamu “Hamas” imepongeza majibu ya Iran na Yemen dhidi ya utawala wa Kizayuni na uhalifu wake dhidi ya Lebanon na wananchi wa nchi hiyo.
Hawza/ Harakati ya Hamas katika ujumbe wake imesemwa kwamba; tunatoa pongezi zetu za dhati kabisa kwa mnasaba wa kuchaguliwa Mtukufu Ayatollah Sayyid Mujtaba Khamenei.
Hawza/ Al-Koumi, akisisitiza kuwa muqawama wa Kiislamu kamwe hautarejea nyuma mbele ya vitisho, vikwazo na mashinikizo ya kila aina, alisema: ujasiri wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah ulitokana…