Je, nafasi ya Imamu katika mfumo wa kuwepo kwa viumbe ni ipi? Je, athari zote za uwepo wake zinategemea kudhihiri kwake? Je, yeye yupo tu kwa ajili ya kuwaongoza watu au uwepo wake ni chanzo…
Kuwasiliana na Mawakili wanne wa kipekee (Nuwwāb Arbaʿa) pamoja na kufanikiwa kwa baadhi ya Mashia kufika mbele ya Imam wao katika kipindi cha Ghaiba ndogo, kulikuwa na athari kubwa katika kuthibitish…