Hawza/ Imamu wa jamaa wa Msikiti wa Imam Ali (as) wa Marneuli, katika maandamano ya siku ya Tasu'a na Ashur'a ya Husein (as) ya Waislamu wa Kishia wa Georgia alisisitiza kuwa: Waislamu wa nchi…
Hawza/ Hujjatul-Islam Haj Rahid Karim, Imamu wa Ijumaa wa Msikiti wa Ahlul Bayt katika eneo la Soghanliq, mji wa Tbilisi, alisema: Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi anasema: "Sisi ni wenye kudhulumiwa,…