-
DuniaOmbi la Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon kwa Serikali ya Nchi Hiyo
Hawzah/ Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon ameiomba serekali ya Lebanon, kutokana na mkwamo uliopo katika mazungumzo na kushindwa kwa chaguo zake, kufungua milango…
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa Baghdad Atahadharisha Juu ya Juhudi za Marekani za Kudhoofisha Umoja wa Vikosi vya Ulinzi vya Iraq
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousavi ameitaja ziara ya Arubaini kuwa ni “ngao ya kiroho” dhidi ya hali ya kukata tamaa inayoukabili Umma, na kwa kurejelea uwepo wa mamilioni ya mazuwari, amesema…
-
Mbunge wa Kambi ya Muqawama:
Dunia“Makubaliano ya Kimfumo” Hayana Manufaa kwa Lebanon
Hawzah/ Hussein Jashi amesema: “Makubaliano ya Kimfumo” hayana manufaa kwa Lebanon, kwa sababu hayajabadilisha mwelekeo wa mapambano dhidi ya adui Mzayuni.
-
DuniaWanazuoni wa Bahrain Wajibu Kauli za Kipuuzi za Mtawala wa Nchi Hiyo Kuhusu Iran
Hawzah/ Mtu anayesema kwamba Umma mmoja una ubora juu ya Umma mwingine katika msingi wa dini hii ni mjinga, au anajifanya mjinga; kwa sababu fadhila zote ni za Mwenyezi Mungu, na kujiona bora…
-
Ayatullah Arafi afafanua katika Swala ya Ijumaa ya Qom:
DuniaMafunzo 8 ya Kimataifa na Kistaarabu ya “Muqawama” ya Taifa la Iran katika Vita vya Tatu vya Kulazimishwa/ Dunia imetambua thamani ya muqawama
Hawza/ Imam wa Swala ya Ijumaa ya Qom, akifafanua mafunzo 8 ya kimataifa na kistaarabu yanayotokana na muqawama wa Taifa la Iran, amesema kwa msisitizo kwamba: Muqawama ni subira yenye hekima…