Hawza/ Waziri wa Mambo ya Ndani wa Hispania, Fernando Grand Marsela, amefikisha malalamiko rasmi katika Mahakama ya Jinai ya Kimataifa dhidi ya Israeli kuhusiana na matukio yanayohusiana na ufuatiliaj…
Hawza/ Tommaso Bortolazzi, mwanaharakati wa Kiitaliano aliyehudhuria katika Flotilla ya Sumuud na kukamatwa na jeshi la majini la utawala wa Kizayuni, alisilimu baada ya kushuhudia ukatili uliofanywa…
Hawza/ Wanaharakati waliokuwa washiriki katika Flotilla ya Kimataifa ya Ṣumūd walisema: “Katika vizimba vilizotengenezwa kwa ajili ya watu watano, waliwekwa watu kumi na tano. Tuliona maandiko…
Hawza/ Baada ya utawala wa Kizayuni kuiteka meli iliyokuwa imebeba misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ghaza, kwa jina la Flotilla ya Sumūd, watu kutoka sehemu mbalimbali duniani wameandamana…
Hawza/ Serikali ya Chile imeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu hatua iliyochukuliwa na utawala wa Kizayuni ya kukamata msafara wa kimataifa “Sumud” uliokuwa unaelekea Ghaza huku ukibeba misaada ya…
Hawza/ Gustavo Petro, Rais wa Colombia, akijibu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kukamata meli ya “Flotilla ya Kimataifa – Sumud” na kuwakamata wanaharakati waliokuwemo, ametoa amri ya kuondolewa…