Dkt. Muhammad Tahir al-Qadri, katika hotuba yake aliyoitoa kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya shahada ya Imam Ali (a.s), alielezea tukio hili kuwa ni janga kubwa katika historia ya Uislamu.