Hawza/ Mustafa Şentop, Spika wa Bunge la Uturuki, kufuatia kuuawa kishahidi Dkt. Ali Larijani katika mashambulizi yiyofanywa na Marekani na Israel, katika ujumbe wake huku akionesha masikitiko…
Hawza/ Baraza la Juu la hawza limetoa salamu za rambirambi kufuatia shahada ya Dkt. Ali Larijani, Hujjat-ul-Islam wal-Muslimin Khatib, na Shahidi General Suleimani, huku likisema kuwa; damu safi…
Hawza/ Harakati ya Kiislamu ya Kata’ib Sayyid al-Shuhada kutoka Iraq imetuma Rambirambi kufuatia shahada ya Dkt. Ali Larijani, Katibu Mkuu wa Baraza la Juu la Usalama wa Taifa la Iran, na kusema…
Hawza/ Swalahuddin Özgündüz, mwanafalsafa maarufu kutoka Uturuki, ametuma ujumbe wa Rambirambi kufuatia shahada ya Dkt. Ali Larijani, mmoja wa viongozi muhimu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran,…