Polisi wa New York, baada ya kuwashambulia wanafunzi waliokuwa wakiandamana kupinga vitendo vya kinyama vinavyo fanywa na utawala wa Kizayuni huko Gaza, waliwakamata wengi wao.
Umati mkubwa wa wafuasi na watetezi wa haki walikusanyika nje ya mahakama moja katika jimbo la Vermont siku ya Jumatano kumuunga mkono kijana wa Kipalestina aliyekuwa akiongoza maandamano dhidi…