Hawza/ Taasisi ya Bilal Muslim Mission Tanzania imefanya semina maalumu ya Maulidi iliyolenga kuimarisha maadili, uongozi na nafasi ya vijana katika kuijenga jamii yenye misingi imara ya Kiislamu,…
Hawza/ Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania imefanya maadhimisho makubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mbora wa Viumbe, Mtume Muhammad (saww), katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Unity…
Hawza/ Vituo vya Bilal Muslim katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania vimeungana na Waislamu kote duniani katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad…