Hawza/ Mwanadamu haitaji tu mahitaji ya kimada na ya kihayawani, bali ana hitaji la juu zaidi nalo ni kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu, lengo la mwisho la Mitume na Uislamu pia ni kumtambua Mwenyezi…
Hawza/ Mwezi huu ni fursa ya kipekee ya kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu, na kughafilika ndani ya mwezi huu husababisha majuto makubwa. Katika Dua za Sha‘ban (Mun'ajat Sha‘baniyya) pia zimeashiriwa…
Hawza/ Kutikana na mnasaba wa siku za Fatimiyya; Bibi Fatima Zahra (a.s) alikuwa na moyo uleule wa huruma, upendo na uchungu aliokuwa nao Mtume (s.a.w.w). Aliumia sana kutokana na mateso, upotovu…