Hawza/ Ayatullah Khatami amesema: Shinikizo la kiuchumi na kuzingirwa kiuchumi vinafuatwa kwa lengo la kujenga pengo kati ya wananchi na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na kudhoofisha kambi ya haki,…
Hawza/ Mjumbe wa Mafaqihi wa Baraza la Kulinda Katiba amesisitiza kuwa; kupandishwa kwa bendera nyekundu na kaulimbiu zilizopazwa na wananchi kumeonesha kwamba damu ya Kiongozi Shahidi haitasahaulika…
Hawza/ Mjumbe wa Maulama wa Baraza la Kulinda Katiba amesema kuwa; mazishi ya Imam Shahidi ni "tukio lisilo na mfano katika karne" na "udhihirisho wa mshikamano kati ya dini na taifa." Akiwashukuru…
Hawza/ Mjumbe wa mafaqihi wa Baraza la viongozi alisisitiza: Imam Khomeini (rehma za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) katika kitabu chake cha "Tahrir al-Wasilah" anaeleza wazi kwamba mtu yeyote…
Hawzah / Khatibu wa Ijumaa wa Teheran amesema: Kama Imamu wa Ijumaa wa Teheran nasema, kwa serikali za Misri, Jodani, Bahrain na Saudi Arabia kwamba, iwapo Israeli itapata nguvu, itazishambulia…