Hawza/ Kituo cha Tiba cha "Rasul al-A'dham (saww)" kilicho chini ya Haram Tukufu ya Alawi kimetangaza kukamilisha maandalizi maalumu ya kitabibu na kiafya kwa ajili ya ziara ya Arubaini ya Imam…
Hawza/ Kamati ya wahudumu wa Haram ya Hadhrat Abbas (as), imepokea bendera ya Hadithi ya Ghadir kutoka kwa Bodi ya Wadhamini wa Haram Tukufu ya Alawi, kwa ajili ya kufungwa katika eneo maalumu.
Hawza/ Kitengo cha habari cha Ataba Tukufu ya Alawi kimetangaza mkusanyiko wa programu za Wiki ya Idi ya Ghadir Khum katika awamu yake ya kumi na tano.
Hawza/ Ataba Tukufu ya Alawi ndani ya Najaf Ashraf, katika mkesha wa Idi ya Ghadir Khum, imeanza kufunga maelfu ya mita za mraba za mabango, bendera na picha za matangazo katika mfumo wa mpango…
Hawza/ Ataba Tukufu ya Alawi, sambamba na kuwasili kwa wiki ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa Imamu Ali (amani iwe juu yake), imeanza maadhimisho haya kwa kupandisha bendera iliyoandikwa…