Hawza/ Mtukufu Ayatollah Sheikh Bashir Hussein Najafi, mmoja wa Mar'aji‘ wa Najaf Ashraf, aliwapokea mazuwari wa Kiirani waliokuwa wamefika kwa ajili ya ziara ya Atabati Tukufu nchini Iraq
Hawza/ Kamati ya Wawakilishi wa Ataba Tukufu Iran wamelaani vikali shambulizi la kigaidi, la kinyama na lisilo la haki lililofanywa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya taifa huru na wananchi…