Ali Fayyadh (7)
-
Ali Fayyadh:
DuniaUwepo wa Israel Katika Ardhi yetu ni Uwepo Haram na Lazima Upingwe kwa Hali Yeyote ile
Hawza/ Mwanachama wa kambi ya “Uaminifu kwa Muqawama” katika Bunge la Lebanon alisisitiza: Kanuni ya kudumu ambayo inapaswa kuwa wazi na kuwepo mbele ya kila mtu ni kwamba; uwepo wowote wa Israel…
-
DuniaAli Fayya'dh: Uongozi wa Lebanon Unaelekea Ukingoni mwa Mazungumzo ya Moja kwa Moja Bila Kupata Mafanikio Yoyote
Hawza/ Mbunge na mwanachama wa Kundi la “Uaminifu kwa Muqawama” alisisitiza kwamba; maendeleo ya matukio yameonesha kuwa; uongozi wa Lebanon unaelekea kwenye ukingo wa mazungumzo ya moja kwa…
-
DuniaMjumbe wa Kundi la Muqawama: Kipaumbele cha leo ni utekelezaji kamili wa usitishaji mapigano
Hawza/ Ali Fayyadh alisisitiza kwamba: Hatutaki kuingia katika mgongano na mamlaka inayotawala, wala hatutaki kuiingiza nchi katika mgogoro wa ndani, ingawa kundi jingine lisilokubaliana na muqawama…
-
Mjumbe wa kambi ya Muqawama atahadharisha:
DuniaIsrael inataka kuanzisha vita vya ndani nchini Lebanon
Hawza/ Ali Fayyadh alisisitiza kwamba; Lebanon iko katika hatua nyeti na ya hatima, inayowataka wananchi wote watende kwa kiwango cha juu cha uwajibikaji ili tuweze kuiokoa Lebanon.
-
Mjumbe wa Muungano wa Uaminifu kwa Muqawama:
DuniaKinachopangwa kwa ajili ya Lebanon ni zaidi ya suala la silaha na kinaelekezwa kwenye mkondo wa kisiasa, kiusalama na kiuchumi
Hawza/ Ali Fayyadh alisema: Hizbullah ni chama kikubwa zaidi cha kisiasa kwa kuzingatia uungwaji mkono wa wananchi nchini Lebanon, na uzito pamoja na nafasi yake haviwezi kupuuzwa.
-
Ali Fayyadh Akiihutubia Serikali ya Lebanon:
DuniaIkiwa adui anaendelea kuwaua Walebanon, mazungumzo naye yana thamani gani?
Hawza/ Mjumbe wa kundi la wabunge la “Uaminifu kwa Muqāwama” katika Bunge la Lebanon alisema: Leo, damu takatifu za Jeshi shujaa la Lebanon, ambalo tunathamini misimamo na busara za uongozi wake,…
-
Mjumbe wa Kundi la Muqawama:
DuniaMwenendo wa Mazungumzo na Israel ni hatari kubwa kwa Lebanon
Hawza/ Ali Fayyadh ameonesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu maendeleo ya mazungumzo ya Lebanon na Israel, akisema kuwa; kwa kuteleza Lebanon kuelekea kufanya mazungumzo na Waisraeli chini ya uongozi…