Alhamisi 26 Novemba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Utawala wa Saudi Arabia katika njia ya kuelekea kuanguka; gharama kubwa za kuichezea dini

    DuniaUtawala wa Saudi Arabia katika njia ya kuelekea kuanguka; gharama kubwa za kuichezea dini

    Hawza/ Utawala ambao kwa miaka mingi umejiegemeza katika nafasi ya kidini ya miji mitakatifu ya Makka na Madina, na kujitambulisha kuwa kinara wa Uislamu, kwa sasa umenaswa katika mkanganyiko…

    2026-11-26 15:30
  • Mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yaanza Islamabad kwa ushiriki wa wasomaji kutoka nchi 32

    DuniaMashindano ya kimataifa ya Qur’ani yaanza Islamabad kwa ushiriki wa wasomaji kutoka nchi 32

    Hawza/ Awamu ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur’ani Tukufu imeanza mjini Islamabad, Pakistan, kwa kushirikisha wasomaji mahiri wa Qur’ani kutoka nchi 32 duniani.

    2026-11-26 14:30
  • Wanazuoni wa Lebanon watafanya mkutano wa dharura

    DuniaWanazuoni wa Lebanon watafanya mkutano wa dharura

    Hawza/ Hawza, mikusanyiko na taasisi za kidini nchini Lebanon zimetangaza kufanyika mkutano wa wanazuoni kwa lengo la kutangaza mshikamano na masuala yanayowahusu wanazuoni wa Bahrain na kulaani…

    2026-11-26 13:30
  • Hawza ziwaandae wanafunzi wenye utaalamu katika fani mbalimbali za kielimu/ Elimu ya Theolojia (Kalamu) ni hai, inayoendelea na yenye uwezo mkubwa

    Ayatullah al-Udhma Subhani:

    DuniaHawza ziwaandae wanafunzi wenye utaalamu katika fani mbalimbali za kielimu/ Elimu ya Theolojia (Kalamu) ni hai, inayoendelea na yenye uwezo mkubwa

    Hawza/ Ayatullah Subhani amesisitiza: Kama ambavyo Imam Swadiq (a.s.) katika kipindi kigumu alichopitia aliwaandaa wanafunzi kama Hisham bin Hakam ili kutetea misingi ya itikadi kwa njia ya kielimu,…

    2026-11-26 12:30
  • Uwezo wa “Theolojia ya Kijamii” Katika Njia ya Kujenga Ustaarabu Mpya wa Kiislamu/ Theolojia ya Kiislamu Ina Jukumu la Kufafanua, Kutoa Hoja, Kutetea na Kuimarisha Maarifa ya Itikadi

    Ayatollah Arafi Amefafanua:

    DuniaUwezo wa “Theolojia ya Kijamii” Katika Njia ya Kujenga Ustaarabu Mpya wa Kiislamu/ Theolojia ya Kiislamu Ina Jukumu la Kufafanua, Kutoa Hoja, Kutetea na Kuimarisha Maarifa ya Itikadi

    Hawza/ Ayatollah Arafi, akisisitiza umuhimu wa kuhifadhi utambulisho wa kielimu wa ijtihadi katika elimu ya Theolojia (Ilmul-Kalam), alisema kuwa Theolojia ya Kijamii ni uwanja unaowezesha kutoa…

    2026-11-26 11:30
  • Wanazuoni wa Kishia Katika Historia Yote Wamekuwa Kimbilio la Waliodhulumiwa na Vinara wa Mapambano Dhidi ya Dhuluma

    Mkuu wa Ofisi ya Tabligh Nchini Iran:

    DuniaWanazuoni wa Kishia Katika Historia Yote Wamekuwa Kimbilio la Waliodhulumiwa na Vinara wa Mapambano Dhidi ya Dhuluma

    Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Wa’izi amesema: Mkutano wa kuunga mkono wanazuoni wa Bahrain na Kuwait ni fursa ya kutangaza mshikamano na wanazuoni wa dini wanaopambana, pamoja na kulaani…

    2026-11-26 10:30
  • Ataba Abbasiyya Yapanua Shughuli Zake za Kielimu Barani Afrika; Vijana Nchini Nigeria Wafundishwa Qur’ani

    DuniaAtaba Abbasiyya Yapanua Shughuli Zake za Kielimu Barani Afrika; Vijana Nchini Nigeria Wafundishwa Qur’ani

    Hawza/ Kituo cha Tafiti za Afrika, kinachohusishwa na Idara ya Masuala ya Fikra na Utamaduni ya Ataba Abbasiyya, kimeanza kutekeleza programu za elimu ya Qur’ani Tukufu kwa wanafunzi na vijana…

    2026-11-26 09:30
  • Ulinganiaji Katika Mitandao ya Kijamii ni Miongoni mwa Majukumu Muhimu ya Hawza/ Baadhi ya Wasimamizi wa Misikiti Hawana Ufahamu Kuhusu Masuala ya Misikiti

    Ayatollah Gharavi Katika Mkutano na Naibu wa Masuala ya Tabligh wa Hawza Nchini Iran:

    DuniaUlinganiaji Katika Mitandao ya Kijamii ni Miongoni mwa Majukumu Muhimu ya Hawza/ Baadhi ya Wasimamizi wa Misikiti Hawana Ufahamu Kuhusu Masuala ya Misikiti

    Hawza/ Ayatollah Gharavi, akizungumzia umuhimu wa ulinganiaji katika mitandao ya kijamii, alisema: "Pamoja na kwamba tunapaswa kuendeleza na kudumisha ulinganiaji wetu wa kimapokeo, ni lazima…

    2026-11-26 08:30
  • Nyanja Saba za Nguvu Zinazohitajika kwa ajili ya Kuundwa Ustaarabu Mpya wa Kiislamu/ Suala Kuu Linalotutofautisha na Ubeberu ni Kujenga Upya Ustaarabu Mpya wa Kiislamu, Si Nishati ya Nyuklia.

    Ayatollah Arafi katika Mkutano wa Wanafunzi wa Kibasij wa Hawza na Vyuo Vikuu Amefafanua:

    HawzaNyanja Saba za Nguvu Zinazohitajika kwa ajili ya Kuundwa Ustaarabu Mpya wa Kiislamu/ Suala Kuu Linalotutofautisha na Ubeberu ni Kujenga Upya Ustaarabu Mpya wa Kiislamu, Si Nishati ya Nyuklia.

    Hawza/ Ayatollah Arafi, akisisitiza kwamba kiini cha makabiliano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kambi ya ubeberu wa kimataifa kinavuka masuala kama vile Mlango-Bahari wa Hormuz na nishati…

    2026-11-26 07:29

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom