-
HawzaAyatullah Arafi Afafanua Sifa Sita Muhimu za Khutba ya Fadaki na Masharti ya Wanafunzi wa Hawza Kutekeleza Wajibu Wao wa Kimataifa Usio na Mipaka ya Kijiografia
Mkuu wa Hawza nchini Iran, Ayatullah Arafi, akizungumzia nafasi ya mwanafunzi wa elimu za kidini na jukumu kubwa lililo mabegani mwake, amesisitiza kuwa: “Kazi mliyoibeba ni kubwa mno na yenye…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaFamilia Yenye Dini na Maadili Ndiyo Msingi wa Jamii Imara
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Sheikh Jalala, amesisitiza umuhimu wa malezi bora ya watoto na uchaguzi sahihi wa mwenza wa ndoa, huku akieleza kuwa familia imara inayozingatia…
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran:
DuniaWapiganaji wa Iran wako tayari kujibu tishio lolote
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa wapiganaji wa vikosi vya kijeshi vya Iran, wakiwa na imani na kumtegemea Mwenyezi Mungu, wako tayari kujibu tishio lolote.
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Ardabil Iran:
DuniaKuanguka kwa fedheha Trump ni dhihirisho la matakwa ya Mwenyezi Mungu katika kushindwa mfumo wa utawala wa kibeberu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Ameli, huku akisisitiza kuwa kushindwa kwa Trump katika uchaguzi lilikuwa jambo linaloweza kutabirika, amesema: Trump ndiye rais mwenye kiburi zaidi, majivuno…
-
Ayatullah Husseini Bushehri katika Swala ya Ijumaa mjini Qom Iran:
DuniaKatika uchaguzi wa Marekani, mshindi mkuu alikuwa wananchi wa Iran, siyo Democrats
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Qom, huku akieleza kuwa kwa sasa ushindi mkubwa umewapata wananchi wa Iran, amesema: Democrats wasidhani kwamba wao ndio walioshinda, bali wananchi wa…
-
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Qadhi Askar:
DuniaMsimamo wa wananchi wa Iran mbele ya mashinikizo ndio utakaowezesha kutimia ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kuwapa ushindi
Hawza/ Msimamizi wa Haram Tukufu ya Mtukufu Abdul Adhim (a.s), huku akisisitiza kuwa dhuluma na madola dhalimu havina uhai wa kudumu, amesema kuwa kusimama imara kwa wananchi wa Iran mbele ya…
-
DuniaTuzo ya Kimataifa ya Mwalimu 2026; Usajili wafunguliwa kwa walimu kutoka nchi mbalimbali
Hawza/ Kituo cha Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya kimetangaza kufunguliwa usajili wa toleo la nne la kimataifa la Tuzo ya Mwalimu (Muallem Prize), tuzo inayolenga kutambua…