Ayatullah Jaafar Subhani, alipokuwa akifafanua nafasi ya Dua ya Makarimul-Akhlaq ya Imam Sajjad (as) katika kumlea mwanadamu mkamilifu, aliitaja dua hiyo kuwa ni mkusanyiko wenye thamani kubwa…
Hawza/ Suratul-Kawthar si bishara tu ya kuendelea kwa kizazi cha Mtume (saww), bali ni ahadi ya Mwenyezi Mungu kuhusu kudumu njia ya Ahlul-Bayt (as) na mwisho wa maadui waliokuwa wakimwita Mtume…
Hawza/ Bibi Fatima Zahraa (as) katika Riwaya, anabainisha kipimo maalumu ambapo kupitia kipimo hicho, mtu anaweza kuwafahamu vyema wafuasi wa madhehebu ya Ahlulbayt (as).