Jumanne 30 Juni 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Ujumbe Muhimu wa Ayatullah A'rafi kuwaelekea Wabebaji Ujumbe wa Dini/ Asisitiza Kufafanua Umuhimu wa Matumizi Bora na Kuepuka Ubadhirifu

    DuniaUjumbe Muhimu wa Ayatullah A'rafi kuwaelekea Wabebaji Ujumbe wa Dini/ Asisitiza Kufafanua Umuhimu wa Matumizi Bora na Kuepuka Ubadhirifu

    Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, ameeleza kuwa; kueneza na kuimarisha utamaduni wa “usimamizi bora wa rasilimali” na “matumizi yenye uwajibikaji” ni miongoni mwa vielelezo muhimu vya jihadi…

    2026-06-29 21:33
  • Kigali Yaomboleza Ashura kwa Huzuni Kubwa ; Mamia ya Waumini Wakusanyika Kumuenzi Imam Hussein (as) + Picha

    DuniaKigali Yaomboleza Ashura kwa Huzuni Kubwa ; Mamia ya Waumini Wakusanyika Kumuenzi Imam Hussein (as) + Picha

    Hawza/ Mamia ya waumini wa Ahlul-Bayt (as) nchini Rwanda wamekusanyika kwa wingi jijini Kigali kushiriki Majlisi kubwa ya maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H/2026, kwa lengo la kuhuisha kumbukumbu…

    2026-06-29 12:41
  • Karbala ni alama ya milele ya mapambano kati ya haki na batili na ya kusimama kwa mnyonge dhidi ya dhalimu

    Raisi wa Baraza la Wanazuoni wa Imamiyya Bangladesh:

    DuniaKarbala ni alama ya milele ya mapambano kati ya haki na batili na ya kusimama kwa mnyonge dhidi ya dhalimu

    Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Ibrahim Khalil Rizvi amesema katika hotuba yake kuwa: Harakati ya Imam Hussein (as) ni alama ya milele ya mapambano kati ya haki na batili, na imewafundisha Waislamu…

    2026-06-29 10:55
  • Sheikh Mkuu wa TIC Aongoza na Kushiriki Matembezi ya Amani ya Ashura Temeke; Ujumbe wa Umoja na Haki Watolewa + Picha

    DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aongoza na Kushiriki Matembezi ya Amani ya Ashura Temeke; Ujumbe wa Umoja na Haki Watolewa + Picha

    Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameshiriki katika Matembezi ya Amani ya kumbukizi…

    2026-06-29 09:55
  • Bujumbura Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as); Waumini Wafurika Majlisi ya Ashura Nchini Burundi + Picha

    DuniaBujumbura Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as); Waumini Wafurika Majlisi ya Ashura Nchini Burundi + Picha

    Hawza/ Waumini wa Ahlul-Bayt (as) nchini Burundi wamekusanyika kwa wingi katika mji mkuu wa Bujumbura kushiriki kikao kikubwa cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 Hijria (2026), kwa lengo la…

    2026-06-29 08:55
  • Ashura ni Mradi wa Kudumu wa Mageuzi

    Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:

    DuniaAshura ni Mradi wa Kudumu wa Mageuzi

    Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, amesema kuwa; Ashura si tukio la kihistoria tu, bali ni "mradi wa kudumu wa mageuzi", na akasisitiza kwamba kupigania…

    2026-06-29 00:02

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom