-
Uchaguzi Mkuu Zanzibar
DuniaRais mwinyi Aapishwa Rasmi Ili Kuanza Awamu ya Pili ya Uongozi wake
Hawza/ Rais Mteule wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na kuanza kipindi chake cha pili cha Awamu ya Nane ya…
-
DiniKwa nini Imam Mahdi (a.t.f.) anaitwa “Shariki al-Qur’an” (Mshirika wa Qur’ani)?
Hawza/ Maana ya kina ya neno “Sharik al-Qur’an” (mshirika wa Qur’ani) inaashiria uhusiano wa kudumu kati ya Imam Mahdi (aj) na Qur’ani Tukufu katika kuendeleza uongofu, kuifufua dini, na kulinda…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadiya:
DiniDaima ujihesabu kuwa ni mwenye kukosea
Hawza/ Kuyakuza matendo yako mema na kudharau dhambi au makosa yako, kunaweza kuwa kizuizi kikubwa katika njia ya uchamungu wa kweli. Ndiyo maana mafundisho ya Maimamu watoharifu (as) katika…
-
Ayatollah A‘rafi katika kongamano la wanazuoni na wanafunzi wa Ardabil Nchini Iran:
HawzaKuhubiri dini (Tabligh) kumejengwa juu ya msingi wa elimu na hoja za kiakili
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchibi Iran amesema: Wale ambao ndani ya Hawza wanapinga mtazamo wa kisiasa, wao wenyewe wanafikiri kisiasa. Asili ya mfumo wa fikra wa Hawza na uongozi wa kidini ni…
-
DuniaUjumbe kutoka Haram ya Imam Husayn (a.s.) watembelea kanisa la kihistoria nchini Pakistan
Hawza/ Ujumbe kutoka katika Haram Tukufu ya Imam Husayn (as), kwa lengo la kuimarisha maelewano na mazungumzo ya kidini, umetembelea kanisa la kihistoria lililoko katika mji wa Rawalpindi, na…
-
Khatibu mashuhuri kutoka India:
Dunia“Mpango wa kusitisha vita vya Ghaza” ni mchezo wa Trump katika ardhi ya Netanyahu
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Sadiqi Husayni katika hotuba yake alisema: Trump kwa kuwasilisha mpango wa utata kuhusu mgogoro wa Ghaza, amefanya kazi kwa manufaa ya Netanyahu, na watu wa Ghaza…