Jumapili 14 Septemba 2025

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Walitaka suala la Palestina lisahaulike, lakini sasa limekuwa suala la kimataifa

    Imamu wa Ijumaa wa Najaf Ashraf:

    DuniaWalitaka suala la Palestina lisahaulike, lakini sasa limekuwa suala la kimataifa

    Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi amesema: Shambulizi la Israeli dhidi ya Doha na mabomu yaliyorushwa Yemen yamekabiliwa na ukimya wa dunia, isipokuwa baadhi ya matamko…

    2025-09-14 00:48
  • Jifunzeni kutokana na shambulio dhidi ya Qatar; nyinyi kwa maridhiano hamtakuwa salama kutokana na madhara ya Israeli

    Harakati ya Nujabaa ikiwasemesha watawala wa Kiarabu:

    DuniaJifunzeni kutokana na shambulio dhidi ya Qatar; nyinyi kwa maridhiano hamtakuwa salama kutokana na madhara ya Israeli

    Hawza/ Harakati Nujabaa katika tamko lake, imelaani shambulio dhidi ya makao ya Hamas huko Doha na ikatoa onyo kwamba maridhiano na utawala wa Kizayuni hayaleti usalama kwa tawala za Kiarabu.

    2025-09-14 00:44
  • Majibu ya Watu wa Ghaza kuijibu barua ya Israeli iliyowataka kuwahamasisha kwa nguvu: Hatutaondoka Ghaza kamwe

    DuniaMajibu ya Watu wa Ghaza kuijibu barua ya Israeli iliyowataka kuwahamasisha kwa nguvu: Hatutaondoka Ghaza kamwe

    Hawza/ Watu wa Ghaza katika kukabiliana na karatasi ambazo utawala wa kikoloni ulizimwaga kwa watu wa Ghaza nazo na kuwalazimisha kuacha nyumba na makazi yao, walikusanyika kwa ajili ya kufanya…

    2025-09-14 00:40
  • Mtafiti wa Kihindi: Umoja na mshikikano kwa Waislamu utawageuza kuwa nguvu isiyoshindwa

    DuniaMtafiti wa Kihindi: Umoja na mshikikano kwa Waislamu utawageuza kuwa nguvu isiyoshindwa

    Hawza/ Sayyid Rashadat Ali al-Qadri katika mazungumzo yake alisisitiza kwamba umoja wa Umma wa Kiislamu una umuhimu wa juu na ni fursa yenye thamani kwa ajili ya kuimarisha mshikamano na udugu…

    2025-09-14 00:37
  • Shambulizi la adui huko Doha linadhoofisha mamlaka ya Qatar, na Jumuiya ya kimataifa lazima ilaani tendo hili la kigaidi

    Jumuiya ya Wanazuoni Waislamu:

    DuniaShambulizi la adui huko Doha linadhoofisha mamlaka ya Qatar, na Jumuiya ya kimataifa lazima ilaani tendo hili la kigaidi

    Hawza/ Jumuiya ya Wanazuoni Waislamu wa Lebanon imesema kuwa: adui Mzayuni anaendelea na uvamizi wake na umefikia hatua ya kutaka kuwaua viongozi wa Hamas waliokuwa na jukumu la kusimamia mazungumzo.

    2025-09-14 00:33
  • Harakati ya Umma yalaani kukengwa viongozi wa Hamas huko Doha

    DuniaHarakati ya Umma yalaani kukengwa viongozi wa Hamas huko Doha

    Hawza/ Harakati ya Umma nchini Lebanon imelaani vikali uvamizi wa Kizayuni dhidi ya kikao cha viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu Hamas kilichofanyika mjini Doha, mji mkuu wa Qatar.

    2025-09-14 00:27
  • Kuonyeshwa Filamu ya “Mtume wa Rehema 571” iliyoandaliwa na Shirika la Dini la Uturuki

    DuniaKuonyeshwa Filamu ya “Mtume wa Rehema 571” iliyoandaliwa na Shirika la Dini la Uturuki

    Hawza / Filamu ya katuni ya “Mtume wa Rehema 571,” ambayo imeandaliwa na Shirika la Dini la Uturuki kwa heshima ya mwaka wa elfu moja mia tano tangu kuzaliwa Mtume Muhammad (swww), hivi karibuni…

    2025-09-14 00:24

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom