-
DuniaTaasisi za kidini zaratibu matibabu ya macho nchini Tanzania
Hawza/ Jumuiya ya Shia ya Khoja kwa kushirikiana na Taasisi ya Almustafa pamoja na baadahi ya Taasisi za kidini nchini Tanzania, imeratibu matibabu ya macho kwa wananchi, huku mwitikio wa wananchi…
-
DuniaSheikh al-Qattan: Watoto wa Ghaza wanakufa huku wakitamani kipande cha mkate
Hawza/ Sheikh Ahmad al-Qattan amesema kuwa: “Yale ambayo watu wetu wa Ghaza wanayapitia ni jukumu la Umma mzima, maulamaa, masultani, watawala, wakuu wa kifalme, wafalme na marais.”
-
DuniaMufti wa Sur na Jabal Amel: Kinachotokea Gaza ni uhalifu unaopewa uhalali wa kimataifa, na ni doa la aibu katika historia ya ubinadamu
Hawza/ Hujjat al-Islam Qadhi Sheikh Hassan Abdullah ameelezea kuwa: Mateso wanayo yapitia watu wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza, ni sawa na uhalifu unaopewa uhalali wa kimataifa na doa la…
-
DiniKwa nini tunaghafilika sisi wenyewe?
Hawza/ Allamah Hasan Zadeh (ra) ameeleza kuwa kuitambua nafsi ndilo suala muhimu zaidi la maarifa, kwa sababu maarifa ya Mwenyezi Mungu yanategemea na kujitambua, alionya kwamba kupuuza ukubwa…