-
DiniJe, Uislamu umemwambia dhalimu tu: Ewe dhalimu! Usidhulumu?
Hawza/ Uislamu haumkatazi dhalimu peke yake dhidi ya dhulma, bali pia kwa kumhutubia aliyedhulumiwa, huondoa mazingira ya kukubali dhulma na humwita asimame imara na kupaza sauti dhidi ya dhulma,…
-
DuniaKhatibu wa Swala ya Ijumaa India: Kumtukana Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ni kuutukana Umma wote wa Kiislamu/ Vyombo vya habari vya India viwaombe msamaha Waislamu
Hawza/ Hujjat al-Islam Sayyid Naqi Mahdi Zaidi, katika khutba ya Swala ya Ijumaa, huku akielezea nafasi ya kipekee na yenye ushawishi ya Ayatollah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (Mola amuhifadhi),…
-
DuniaUholanzi yampiga marufuku Ben Gvir kuingia nchini humo
Hawza/ Vyombo vya habari vya Uholanzi vimetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo imeamua, katika muktadha wa kuongeza shinikizo kwa utawala wa Israel ili iachane na vikwazo vya chakula na maji huko…
-
DuniaAnsarullah: Msaada wa baadhi ya nchi za Kiislamu na Kiarabu kutokana na kuzingirwa Ghaza ni aibu kubwa!
Hawza/ Mmoja wa wajumbe wa kisiasa wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amekosoa vikali baadhi ya serikali za Kiarabu na Kiislamu kwa kushirikiana na utawala wa Kizayuni wenye damu mikononi mwake…