-
DuniaRais wa Jumuiya ya Kisheria ya Waislamu wa Kishia wa Jammu na Kashmir amelaani vikali kitendo cha kudhalilisha kilichofanywa na chombo cha habari cha Kihindi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Hassan Mousavi, kupitia tamko rasmi, amelaani vikali taarifa ya udhalilishaji na uchochezi iliyotolewa na kituo cha televisheni cha “India TV” dhidi…
-
DuniaBaraza la Wanazuoni Waislamu wa Lebanon limetoa wito wa kunyang'anywa silaha adui wa Kizayuni (Israeli)
Hawza/ Baraza la Maulamaa wa Kiislamu Lebanon limetoa wito wa kunyang'anya silaha adui Muisraeli, ambaye amepora ardhi ya safari ya “Isra na Miiraj” huko Palestina
-
HawzaUjumbe wa Rambirambi wa Ayatollah Arafi kufuatia kifo cha mwandishi wa habari wa shirika la habari la Hawzah
Hawzah/ Ayatollah Arafi ametoa ujumbe wa rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi wa habari wa shirika la habari la Hawzah