-
Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 36
DiniKuuongoza umma katika Kipindi cha Ghayba Kubra (kubwa)
Hawza/ Baada ya ghaiba ya Imam wa kumi na mbili (as), ni nani mwenye dhamana ya uongozi na uimamu juu ya umma? Je, mtu mmoja au watu fulani wana mamlaka juu ya umma? Ikiwa kuna mamlaka, mipaka…
-
DuniaUjumbe wa Kiongozi wa Mpinduzi kwa mnasaba wa maafhimisho ya siku ya kupata shada kundi miongoni mwa wananchi wa Irani, makamanda wa kijeshi na wanasayansi wa nyuklia
Hawza/ Kwa mnasaba wa siku ya arubaini tangia kupata shahada kundi la wananchi, makamanda wa jeshi waliobobea na wanasayansi mashuhuri wa nyuklia wa nchi hii kwa mikono ya utawala muovu na mhalifu…
-
DuniaWanaochukia Uislamu na wenye ubaguzi wa rangi wamezuia ujenzi wa msikiti nchini Uingereza
Hawza/ Michelle Strogham, mwakilishi wa Chama cha Labour nchini Uingereza, katika hotuba zake amesema kuwa hakupaswi kuwa na nafasi yoyote kwa ubaguzi wa rangi huko Cumbria, na maandamano yaliyoibuka…
-
DuniaUfuatiliaji wa malalamiko na uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza wakabidhiwa kwa taasisi mpya ya Kiislamu
Hawza/ Baada ya serikali ya Uingereza kukata bajeti ya taasisi ya "Tell MAMA" ambayo awali ilikuwa na jukumu la kushughulikia, kusajili na kufuatilia uhalifu unaohusiana na chuki dhidi ya Uislamu,…
-
Barua ya wazi ya Jumuiya ya Walimu wa Hawza (J'amiatul-Mudrrisin) kwa Maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu:
HawzaLeo ni wajibu kwa maulamaa wa umma kupaza sauti kwa ajili ya kuwaokoa watu wa Palestina
Hawza/ Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom: Leo ni wajibu na jukumu juu ya maulamaa wa umma kuvunja ukimya dhidi ya jinai hii ya wazi na ukimya wa madola ya kisiasa ya nchi za Kiislamu, pamoja…