-
Ayatollah A’rafi katika barua yake kuwaelekea maulamaa wakubwa wa nchi za Kiislamu:
HawzaKatika kati ya moto na njaa, tumaini la Ghaza limeelekezwa kuuelekea Umma wa Kiislamu / Hatua ya haraka kwa Umma wa Kiislamu na taasisi za kimataifa kuvunja kuzingirwa na kufikishwa misaada ya dharura
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Irani, katika barua mbalimbali amewaomba maulamaa wa ulimwengu wa Kiislamu wamkabili twaghuti wa dhulma, walie njaa ya wanyonge, wapaze sauti zao dhidi ya tawala…
-
DuniaPapa ataka kukomeshwa unyama unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza
Hawza/ Papa Leo wa kumi na nne, huku akielezea masikitiko yake juu ya shambulio la anga lililofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya kanisa la Kikatoliki katika Ukanda wa Ghaza, ametoa wito wa…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
HawzaTaifa la Iran halitaachana na heshima na akili
Hawza/ Hazrat Ayatollah Jawadi Amuli katika kikao na wanajumuiya wa kundi la Mu’talifeye Islami alisisitiza kwamba: Sisi ni warithi wa utamaduni na fikra ambazo si tu kwamba zilikuwa ni zenye…
-
Ayatollah al-Udhma Nouri Hamedani:
HawzaHakuna mtu yeyote mwenye haki ya kuzungumza kwa mtazamo dhaifu ndani ya Jamhuri ya Kiislamu
Hazrat Ayatollah Nouri Hamedani alisisitiza kuwa: Hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kuzungumza kwa mtazamo dhaifu ndani Jamhuri ya Kiislamu na kudhoofisha heshima ya watu, kisha licha ya usaliti…