-
DuniaUchambuzi wa Raisi wa Jumuiya ya Wanazuoni Wakislamu wa Lebanon kuhusiana na Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Syria
Hawza/ Mkusanyiko wa Wanazuoni Wakislamu katika marasim ya kumkumbuka Sheikh Rasul Shahud ambaye aliuawa kwa shambulio la kigaidi katika viunga vya mji wa Homs. Marasim haya yalifanyika katika…
-
DiniHukumu za Kisheria | Kusikia Aya ya Sajda ya wajibu katika Swala
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Khamenei amejibu swali la kifiqhi kuhusu wajibu wa mwenyekuswali pindi anaposikia aya ya sajda ya wajib katika swala za faradhi na zile za sunnah.
-
Mwanazuoni Mashuhuri wa India:
DuniaKumtaja Imam Husein (as) ni nuru ya muongozo wa maisha na ni andao bora kabisa kwa ajili ya Akhera
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ahmad Ali Abidi, katika hotuba zake alisisitiza juu ya thamani ya kiroho ya majlisi za maombolezo na kumbukumbu ya Imam Husein (as), na akasema kwamba…
-
DuniaSheikh Yasin: Wale wanapaza sauti zao wakidai kusalimisha silaha zao, hawana hisia za uzalendo
Hawza/ Hujjatul-Islam Sheikh Ali Yasin al-Amili amesisitiza kuwa kujadili suala la kusalimisha silaha za muqawama, katika hali ambayo serikali haiwezi kujibu hata moja ya hujuma za Kizayuni,…