-
Hadithi ya leo:
DiniDaima kuwa mtu huru
Usiwe mtumwa wa mwingine, ilihali Mwenyezi Mungu amekuumba ukiwa huru.
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli:
HawzaImam Khomeini alikuwa ni mchanganyiko kamili wa elimu na matendo
Hawza/ Ayatollah Jawadi Amoli amesema: Imamu Khomeini (ra) alielewa kwa usahihi kila alichokifahamu, na alitenda kwa usahihi kila alichokitenda. Alikuwa ni mtu aliyekusanya kwa ukamilifu kati…
-
Ayatollah al-‘Udhma Nouri Hamadānī:
HawzaImani ya Imam Khomeini ilikuwa kwamba “Mapinduzi ya Kiislamu ni utangulizi wa kudhihiri kwa Imam wa zama (aj)”
Hawzah/ Ayatollah Nouri hamadan amesema: Imam (ra) mara nyingi alikuwa akisisitiza kwamba, “Kile kilichoanzishwa kwa njia ya harakati na Mapinduzi haya, hakiwezi kuzimwa wala kumalizika, na ni…
-
DuniaKwa kuuawa Muislamu mwingine nchini Ufaransa, nchi hiyo imeingia katika duru mpya ya mauaji dhidi ya Waislamu
Hawzah/ Kwa mujibu wa Wizara ya Ujasusi wa Kitaifa ya Ufaransa, uhalifu dhidi ya Waislamu katika robo ya kwanza ya mwaka huu umeongezeka kwa asilimia 72 ikilinganishwa na robo ya kwanza ya mwaka…
-
DuniaQur'ani tukufu yachapishwa kwa Jitihada za Wasanii wa Iraq
Hawzah/ Uchapishaji na usambazaji wa nakala hii umefanyika chini ya usimamizi wa Haram ya Imamu Hussein (as). Nakala hii ya Qur’ani imezalishwa kwa kutumia teknolojia za kisasa kabisa za uchapishaji,…
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Maadhimisho ya Miaka 36 ya Kufariki Imam Khomeini (ra) Amefafanua:
DuniaMaendeleo, Usalama na Ustawi ni kwa Kuendeleza Njia ya kiakili ya Imam Khomeini (ra)
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, asubuhi ya leo, mbele ya umati mkubwa na wenye hamasa katika Haram takatifu ya Imam Khomeini (ra), akizungumza kuhusu athari dhahiri za…