-
DuniaIsraeli yaua karibu watu 80 wa Gaza katika shambulio kwenye zahanati ya UN
Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze…
-
Maswali na Majigu:
DiniJe! Ni jinsi gani tunaweza kurekebisha tabia zinazoharibu Mtoto?
Badala ya kumuadhibu kwa kumpiga, boresha zaidi ujuzi wako wa kuongea, haijalishi tabia ya mtoto ni mbaya kiasi gani, kwa kuzungumza naye kwa upole na kumuelezea makosa yake, unaweza kumfundisha…
-
DuniaTrump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo huo inaongeza kiwango cha vikosi vya jeshi lake vamizi katika eneo la…
-
Mshauri wa mudiri wa Hawza nchini Irani:
HawzaMapinduzi ya kiislamu ya Iran ni Utimilifu wa ndoto ya serikali ya miaka 1400
Hujjatul Islam wal Muslimin Zamani, ameelezea ushindi wa mapinduzi ya kiislamu kama hatua muhimu katika historia ya uislamu na kusema kuwa: Mapinduzi hayo yametimiza ndoto ya serikali ya kidini…
-
Hadithi ya leo:
DiniUsiache wajibu hizi mbili kubwa za Mwenyezi Mungu
Kwa hakika kuamrisha mema na kukataza maovu ni faradhi mbili kubwa, kwazo faradhi husimamishwa.